{"id":1219608,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219608/?format=json","text_counter":230,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Cherarkey","speaker_title":"","speaker":{"id":13217,"legal_name":"Cherarkey K Samson","slug":"cherarkey-k-samson"},"content":"Bw. Spika wa Muda, ninakubaliana na Seneta wa ndume kutoka Kaunti ya Kakamega, kwamba maisha yanaanza wakati mbegu ya mwanamke na mwanaume zinapokutana. Kwa heshima kubwa, ninaomba HANSARD irekebishe matamshi hayo."}