{"id":1219613,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1219613/?format=json","text_counter":235,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kavindu Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":13733,"legal_name":"Agnes Kavindu Muthama","slug":"agnes-kavindu-muthama"},"content":"ili tuwache kupoteza maisha ya watu wetu. Wanapaswa kutilia maneno haya maanani. Kaunti zetu ziko na pesa kwa hiyo wanaweza kununua generators za nguvu na kuweka solar panels ili watu wetu waache kupoteza maisha."}