{"id":1220499,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220499/?format=json","text_counter":105,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chute","speaker_title":"","speaker":{"id":13583,"legal_name":"Chute Mohamed Said","slug":"chute-mohamed-said"},"content":"wanaongea mambo ya Kipsigis ya zamani. Waafrika wenyewe wametuletea huo ukoloni, ardhi imechukuliwa na hatuna mahali pa kulisha mifugo wetu. Wale watu ambao wanafanya kazi huko ndani, ni Wazungu. Hata seremala anatoka Afrika Kusini kuja kuwa meneja wa kambi nzima---"}