{"id":1220512,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220512/?format=json","text_counter":118,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"Yale ambayo yanaendelea katika Kaunti ya Kericho na sehemu mbalimbali humu nchini, lazima yakome. Ni lazima Serikali ya Kenya Kwanza tuhakikishe kwamba wale ambao mashamba yao yalichukuliwa, wapate haki yao."}