{"id":1220515,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220515/?format=json","text_counter":121,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"Shida za Wakikuyu ambao walinyang’anywa mashamba, ndizo hizo za watu wa Bonde la Ufa walionyang’anywa mashamba. Huo ndio uchungu ambao Wakamba"}