{"id":1220554,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1220554/?format=json","text_counter":160,"type":"speech","speaker_name":"Sen. M. Kajwang","speaker_title":"","speaker":{"id":13162,"legal_name":"Moses Otieno Kajwang'","slug":"moses-otieno-kajwang"},"content":"Bw. Spika, je, ni nidhamu kwa Seneta wa Nairobi kujifanya kama kinyonga katika Seneti hii? Amesema kuwa alizaliwa Bungoma na wiki iliopita tukiwa na ‘Baba’ kule Kakamega, alisema kuwa alizaliwa Kakamega. Juzi akitafuta kura"}