{"id":1221523,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1221523/?format=json","text_counter":217,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii. Kuna msemo wa Kiswahili unaosema, ‘Nyani haoni umbile.’ Yaani, nyani haoni umbo lake. Ningetumia lugha nyingine lakini sio ya kistaarabu."}