{"id":1222886,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1222886/?format=json","text_counter":520,"type":"speech","speaker_name":"Likoni, ODM","speaker_title":"Hon. Mishi Mboko","speaker":null,"content":"akiondoa dosari hiyo, naunga mkono kwa sababu ni Baraza muhimu sana kuangalia hali zetu za anga kwa sababu sasa kuna kiangazi, na hata mpaka chakula tumekosa."}