{"id":1223042,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223042/?format=json","text_counter":141,"type":"speech","speaker_name":"Kilifi Kaskazini, UDA","speaker_title":"Mhe. Owen Baya","speaker":null,"content":"anasema kwamba tupige marufuku uzungumziaji, uchapishaji na usambazaji wa taarifa zinazokuza mahusiano ya jinsia moja nchini. Articles 32, 33 na 34 za Katiba zinatuelezea kwamba kila Mkenya…"}