{"id":1223069,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223069/?format=json","text_counter":168,"type":"speech","speaker_name":"Mhe. Martha Wangari","speaker_title":"Spika wa Muda","speaker":{"id":13123,"legal_name":"Martha Wangari","slug":"martha-wangari"},"content":" Ahsante Mhe. Nyamai. Kufunga ni kunukuu. Ningependa kumpa Mbunge wa Akina Mama wa Tharaka-Nithi nafasi hii. Hoja ya nidhamu huwa wakati kuna jambo ambalo liko kwa Ukumbi ambalo halijaenda sambamba, na hakuna jambo lolote lililo kwa Ukumbi wakati huu. Mhe. Susan."}