{"id":1223122,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223122/?format=json","text_counter":221,"type":"speech","speaker_name":"Malindi, ODM","speaker_title":"Hon. Amina Mnyazi","speaker":null,"content":"Mhe. Spika wa Muda, kwa niaba ya watu wa Malindi, ninamuunga mkono Mhe. Mohammed Ali kuwa tupige marufuku uchapishaji na uzungumzaji wa maswala ya ushoga na usagaji."}