{"id":1223649,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1223649/?format=json","text_counter":166,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa hivyo, naunga mkono Hoja hii na kuomba Serikali itenga pesa ili kuwezesha uchimbaji wa mabwawa ili tuwe na maji ya kunyunyizia miti na kuifanya inawiri. Hilo likifanyika, ninahakika tutafaidika."}