{"id":1225582,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225582/?format=json","text_counter":668,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Lakini polisi wenyewe walikuwa wa kwanza kutupa teargas mimi nikiwa hapo. Tukawafuata na tukawaambia hata wakaomba msamaha-- Alimwambia yule polisi asitupe teargas kwa watu ambao hawana silaha, hawapigi kelele wala hawafanyi fujo, na tukaingia."}