{"id":1225595,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225595/?format=json","text_counter":681,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Leader of Minority","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":" Huu ni wakati mgumu sana kwa waislamu. Ni wakati ambao wamejiweka mbele ya Mwenyezi Mungu. Mhe. Amina Munyazi alionyeshwa madharau ambayo haiyajaonekana ndani ya hii nchi kwa mwanamke wa Kiislamu."}