{"id":1229166,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229166/?format=json","text_counter":271,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Tumesema kwamba licha ya kuwa na sheria, lazima pia tuwe na watu wenye msimamo wa kusimamia sheria zile ili zikitekelezwa, watu waweze kupata haki zao kikamilifu."}