{"id":1229293,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229293/?format=json","text_counter":37,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kassim Tandaza (","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mhe. Spika, asante kwa kunipa nafasi hii kutoa rambirambi zangu, rambirambi za familia yangu na watu wa Matuga kwa familia ya mwenzetu aliyetuacha. Mwenyezi Mungu aweze kumuweka mahali pema peponi."}