{"id":1229642,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229642/?format=json","text_counter":386,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County, ODM","speaker_title":"Mhe. Zamzam Mohammed","speaker":null,"content":". Nawauliza: Raila alikuwa anafanya kazi gani katika kukopa pesa? Mtueleze hapa. Mshahara wangu mimi nimeuona juzi tarehe nane. Huwa tunalipwa tarehe nane? Mshahara ulichelewa; tuambiane ukweli. Hata saa hizi, wafanyakazi wa serikali kule mashinani hawajalipwa. Tuwache kuficha uchi. Mficha uchi hazai."}