{"id":1230196,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230196/?format=json","text_counter":215,"type":"speech","speaker_name":"Kikuyu, UDA","speaker_title":"Hon. Kimani Ichung'wah","speaker":null,"content":"Sina tabia ya kuwatongoza wake wa wenyewe. Lakini nina tabia ya kukinga haki za akinamama. Hata wewe mama Zamzam, kikiumana kwa Azimio la Umoja-One Coalition Party ama nyumbani, nitasimama na haki zako."}