{"id":1230897,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230897/?format=json","text_counter":25,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"KWAMBA, tukifahamu kuwa, familia ndio kiungo cha msingi cha jamii, nakutambua kwamba utamaduni wa Kiafrika unathamani sana asasi ya ndoa ambayo inahakikisha kuendelea kwa binadamu kupitia uzazi; tukizingatia ukweli kwamba Ibara ya 45(2) ya Katiba inaeleza kuwa kila mtu mzima ana haki ya kufunga ndoa na mtu wa jinsia tofauti, kwa msingi wa hiari baina ya wahusika; tukitambua pia kwamba Kifungu cha 162 cha Kanuni ya Adhabu kinamtia hatiani yeyote ambaye anashiriki tendo la ngono lisilo la kawaida na mtu yeyote kinyume na utaratibu wa asili; tukizingatia kuwa mahusiano na ndoa za jinsia moja na ngono inayotokana na mahusiano haya ni"}