{"id":1230902,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230902/?format=json","text_counter":30,"type":"speech","speaker_name":"Mhe. Naibu Spika","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Waheshimiwa, Hoja hii ilikuwa imemalizika katika kipindi cha mazungumzo ya Bunge. Sasa ni kuleta Swali hili muamue na nimethibitishe kwamba kuna akidi kwa minajili ya Bunge kuamua."}