{"id":1232618,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1232618/?format=json","text_counter":39,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Spika, ninauunga mkono mjadala huu wa mambo ya barabara. Tunaweza keti hapa na kujilaumu kuhusu uendeshaji wa magari au mambo ya Kaunti ya Mji wa Nairobi ."}