{"id":1233139,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1233139/?format=json","text_counter":321,"type":"speech","speaker_name":"Wundanyi, WDM","speaker_title":"Hon. Danson Mwashako","speaker":null,"content":" Waziri, ninaomba tujengewe ukuta. Halafu, pesa ambazo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya kujenga barabara ya Mto Mwagodi- Mbale ambayo Mhe. Haika ameitaja, zitumike kuimaliza. Kama barabara hii ingekuwa inapitisha magari, basi watu hawangetumia barabara ya muinuko ambayo iko na black spot . Kwa hivyo, ombi langu kwa Waziri nikuwa ninajua pesa ziliwekwa kwa Supplementary"}