{"id":123409,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/123409/?format=json","text_counter":214,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Machage","speaker_title":"The Assistant Minister for Roads","speaker":{"id":179,"legal_name":"Wilfred Gisuka Machage","slug":"wilfred-machage"},"content":" Bw. Naibu Spika, huu ndio wakati wananchi wa nchi hii wanapaswa kuwatambua viongozi wazalendo ambao wana uchungu na utu; viongozi ambao wanamtambua kila mtu kwenye sehemu ya uwakilishi Bungeni kama binadamu, na kujua kwamba binadamu wote ni sawa."}