{"id":123410,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/123410/?format=json","text_counter":215,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Machage","speaker_title":"The Assistant Minister for Roads","speaker":{"id":179,"legal_name":"Wilfred Gisuka Machage","slug":"wilfred-machage"},"content":"Kwa wale, wale ambao wanapenda kusoma Biblia, wanajua kwamba wakati fulani, Mwenyezi Mungu alimuumba binadamu na binadamu akawazaa watoto wawili; Abel na Kain. Baadaye, Kain aliamua kumuua Abel. Mwenyezi Mungu akamuuliza Kain: âNdugu yako yuko wapi?â Kain akamujibu: âSijui.â Mwenyezi Mungu akamuuliza: âUnasema hujui na damu ya ndugu yako inalia mbele ya macho yangu?â"}