{"id":123411,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/123411/?format=json","text_counter":216,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Machage","speaker_title":"The Assistant Minister for Roads","speaker":{"id":179,"legal_name":"Wilfred Gisuka Machage","slug":"wilfred-machage"},"content":"Bw. Naibu wa Spika, damu ya wananchi zaidi ya 1,000 waliofariki wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa 2007 inalia mbele ya macho ya Mwenyezi Mungu."}