{"id":1234145,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234145/?format=json","text_counter":257,"type":"speech","speaker_name":"Kuria West, UDA","speaker_title":"Mhe. Mathias Robi","speaker":null,"content":"na wale wanapata mapato ya chini – mahusltler wanaenda katika hizo kampuni kutafuta riziki. Watu wengine wanachukua nafasi hiyo kuwanyanyasa na kuwatumia vibaya kimapenzi badala ya kuwasaidia."}