{"id":1234147,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234147/?format=json","text_counter":259,"type":"speech","speaker_name":"Kuria West, UDA","speaker_title":"Mhe. Mathias Robi","speaker":null,"content":"Pia, kuna wale mabosi ambao badala ya kuwapatia kazi wasichana, wanatanguliza maneno ya mapenzi. Ningependa kuchukua nafasi hii kushukuru sana na kupongeza Idara ya Wafanyikazi na tunaiomba iweze kutilia maanani jambo la kuwachunga wafanyikazi kila mahali."}