{"id":1234321,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234321/?format=json","text_counter":91,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"shughuli za kikazi. Kwa hivyo, yeye ni mchapa kazi na anaendelea kufanya kazi ambayo amechaguliwa kufanya. Bw. Naibu Spika, naungana na wewe kusema asante na kuwaambia karibu sana."}