{"id":1234448,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234448/?format=json","text_counter":218,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Bw. Naibu Spika, haiwezi kutua kama haijazuru. Kwa lugha ya Kiswahili inapaswa--- Wacha niendelee. Wanapaswa kuzuru Mombasa na sehemu zingine za Kenya kwa sababu inaongeza ajira kwa vijana wetu."}