{"id":1234749,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234749/?format=json","text_counter":519,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kibwana","speaker_title":"","speaker":{"id":277,"legal_name":"Kibwana Kivutha","slug":"kibwana-kivutha"},"content":"Mackenzie ni mtu anayejulikana kwa sababu alionekana akiwa na Rais wa nchi ya Kenya wakiwa kwa maombi pamoja. Hii ni masikitiko makubwa."}