{"id":1234773,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234773/?format=json","text_counter":543,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kibwana","speaker_title":"","speaker":{"id":277,"legal_name":"Kibwana Kivutha","slug":"kibwana-kivutha"},"content":"Bw. Spika wa Muda, mimi hata hawakunipa nafasi ya kusema vile nilikuwa nataka kusema. Mimi nilikuwa nikisema kuwa Bwana Mackenzie alionekana wakiomba pamoja. Sikusema zaidi ya hapo. Hivyo tu ndivyo nimesema"}