{"id":1234775,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234775/?format=json","text_counter":545,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kibwana","speaker_title":"","speaker":{"id":277,"legal_name":"Kibwana Kivutha","slug":"kibwana-kivutha"},"content":"Sijasema kitu. Kwa hivyo, mimi nimesema tu wamekuwa kanisani pamoja. Hiyo tu ndio nimesema peke yake. Je, kuna ubaya wao kuwa kanisani pamoja? Yeye ni mchungaji."}