{"id":1234778,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1234778/?format=json","text_counter":548,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kibwana","speaker_title":"","speaker":{"id":277,"legal_name":"Kibwana Kivutha","slug":"kibwana-kivutha"},"content":"Bw. Spika wa Muda, kabla watu hawajajua ni kazi gani aliyo kuwa akifanya, alikuwa ni mchungaji na alikuwa anaombea watu. Kwa hivyo, ameonekana na watu wengi kanisani."}