{"id":1236408,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236408/?format=json","text_counter":77,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"(1) Iarifu Seneti lini wakandarasi wa ujenzi wa barabara hizo tatu watarudi kuendelea na mradi wa ujenzi wa barabara hizo, ikikumbukwa kwamba, muda mahsusi uliotangazwa kuchukua ujenzi huo umekamilika."}