{"id":1236495,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236495/?format=json","text_counter":164,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"fulani. Mimi ningetaka hiyo Committee itueleze ya kwamba zile chemist ambazo ziko pale nje nizakina nani na wanatoa wapi dawa ambazo zinakosekana kwa hospitali za serikali. Asante Bw. Spika."}