{"id":1236680,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236680/?format=json","text_counter":349,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Githuku","speaker_title":"","speaker":{"id":13595,"legal_name":"Kamau Joseph Githuku","slug":"kamau-joseph-githuku"},"content":"Asante Spika wa Muda kwa kunipa hii fursa ya kuchangia swala hili ambalo ni muhimu katika Jamhuri hii ya Kenya. Nampongeza Seneta wa Kaunti ya Kakamega, Sen. (Dr.) Khalwale, kwa kuleta Hoja hii ili jambo hili lishughulikiwe kwa"}