{"id":1236783,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1236783/?format=json","text_counter":452,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"tukapeleka maji mpaka Kighombo Dam na tukajaza hilo bwawa la Kighombo na tukapea watu wa Mwatate na Voi maji. Tumenyimwa leo. Tunapata ya kwamba ni wadi mbili peke yake Taita-Taveta ambazo zinapata hizi pesa za Equalisiton Fund ambayo ni Chala. Kwa sababu ya kumbukumbu, Chala inapata Kshs6,339,919, Kasigau wanapata KShs6,998,---"}