{"id":1238291,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238291/?format=json","text_counter":341,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Mauaji ya mbari yanayotokea kule Marsabit na sehemu zingine zinazokaliwa na jamii za wafugaji, ni jambo la kusikitisha katika karne ya ishirini nchini."}