{"id":1238292,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238292/?format=json","text_counter":342,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Wameshindwa kusoma masomo yaliyotokea Rwanda mwaka wa 1994. Leo ikiwa karibu miaka thelathini, tangu matokeo ya Rwanda, na bado nchini watu wanauwana kiholela kimbari kupigania uongozi."}