{"id":1238305,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238305/?format=json","text_counter":355,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Marsabit, samahani. Lakini Marsabit na Mandera kwote usalama ni duni. Huwezi tembea kama tunavyotembea Mombasa wakati wowote, masaa 24 bila shida yeyote. Hizi ni sehemu ambazo zilipiga kura kwa Serikali ya UDA---"}