{"id":1238541,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1238541/?format=json","text_counter":208,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bi. Spika wa Muda. Nimesimama ili niulize swali langu kwa Bw. Waziri. Tuko na ploti, Bububu Extension Settlement Scheme Plot No.246 kule Kaunti ya Mombasa, Likoni Sub-county . Ningependa kukujulisha kwamba, hiyo ardhi ilikuwa na kesi mwaka 2016---"}