{"id":1239195,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1239195/?format=json","text_counter":174,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Chute","speaker_title":"","speaker":{"id":13583,"legal_name":"Chute Mohamed Said","slug":"chute-mohamed-said"},"content":"wa Ethiopia Airlines . Ninataka watu wasikize. Mheshimiwa alisema walipata bilioni mbili lakini ninataka kurekebisha hiyo. Walipata faida ya US$937 bilioni. Bw. Spika, ni vizuri watu wajue ni nini inaendelea. Mwenyekiti wa Ethiopia Airlines aliniambia Ethiopia Airlines iko na branches kadhaa. Iko na branch inaitwa;"}