{"id":1242805,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242805/?format=json","text_counter":287,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murang’o","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bi. Spika wa Muda. Kwa heshima kubwa, ninajua Sen. Olekina hunywa maziwa pekee. Kwa hivyo, sikusema kwamba yeye ni mlevi ama kuna kinywaji chochote ambacho anakunywa pale."}