{"id":1242814,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1242814/?format=json","text_counter":296,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Murango","speaker_title":"","speaker":{"id":13585,"legal_name":"Murango James Kamau","slug":"murango-james-kamau"},"content":"Asante, Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuelezea Seneta wa Nandi kwamba, wakati watu wanafanya ushirikishwaji wa umma, hawatumii miguu kama wakiritimba wanaouza ng’ombe. Inabidi kuwe na malazi na vitu vingine vinavyohitajika."}