{"id":1243198,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1243198/?format=json","text_counter":339,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Nimesimama kwa mujibu wa Kanuni ya Kudumu ya 53(1) kuomba Kauli kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Usalama wa Taifa, Ulinzi na Uhusiano wa Kimataifa kuhusu kuchelewa kwa"}