{"id":1251625,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1251625/?format=json","text_counter":76,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii. Nilikuwa na hofu kwamba nimefanyiwa hujma ili nisiweze kuzungumza. Lakini, nimeskia Kiongozi wa Waliowengi akipeleka malalamishi kwa Kamishna."}