{"id":1259558,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1259558/?format=json","text_counter":460,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":{"id":13223,"legal_name":"Johnes Mwashushe Mwaruma","slug":"johnes-mwashushe-mwaruma"},"content":"Bw. Spika, wakulima wa ndengu pia wanahitaji mafunzo kuhusu mbinu za kisasa za kulima. Hayo mafunzo yatafanywa na hayo mamlaka ama Authority . Mamlaka hayo pia yataangazia utafiti ili kubaini mbegu itakayofaa zaidi kwa mchanga wa eneo fulani."}