{"id":1262093,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1262093/?format=json","text_counter":178,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"(d) iarifu Seneti mikakati iliyobuniwa na Serikali kuhakikisha wanahabari wanaweza kufanya kazi zao kwa uhuru kuambatana na sheria bila kusumbuliwa na polisi"}