{"id":1267259,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267259/?format=json","text_counter":452,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"Ninaomba kama viongozi tumakinike, tuwe jasiri na tusimame wima. Tujadili na tubainishe mbichi na mbivu kikatiba; tusuluhishe mambo haya lakini sio yale ambayo naona kwenye barasi za nchi ya Kenya."}