{"id":1267358,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1267358/?format=json","text_counter":551,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bi. Spika wa Muda, nimemusikiza mweshimiwa Wafula kwa makini. Lakini Kenya hii inajulikana watu ambao walikula pesa ya mahindi na anayejulikana ni mmoja pekee yake hapa na hatuna haja ya kumtaja na kuna ushahidi. Asante."}